Brazil watangaza ‘jeshi’ la kuzimaliza Ecuador, Colombia

KOCHA wa timu ya taifa ya Brazil ‘Selecao’, Tite Alhamisi hii ametangaza kikosi chake kwa ajili ya kupambana na Ecuador na Colombia Agosti 31 na Septemba 5 katika mechi za kufuzu fainali kombe la dunia zitakazofanyika Urusi 2018.

Hata hivyo Selecao wameshafuzu kucheza fainali hizo kwahiyo hizi zinabaki kuwa mechi za kukamilisha ratiba tu. Hiki hapa kikosi kamilil

Makipa:
Alisson (Roma)
Cássio (Corinthians)
Ederson (Manchester City)

Walinzi wa kati:
Rodrigo Caio (São Paulo)
Marquinhos (PSG)
Miranda (Inter Milan)
Thiago Silva (PSG)

Mabeki wa pembeni:
Daniel Alves (PSG)
Fagner (Corinthians)
Filipe Luis (Atletico Madrid)
Marcelo (Real Madrid)

Viungo:
Casemiro (Real Madrid)
Fernandinho (Manchester City)
Paulinho (Guangzhou Evergrande)
Renato Augusto (Beijing Guoan)
Philippe Coutinho (Liverpool)
Willian (Chelsea)
Luan (Gremio)
Giuliano (Zenit)

Washambiliaji:
Taison (Shakhtar)
Gabriel Jesus (Manchester City)
Neymar (PSG)
Roberto Firmino (Liverpool)

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *