CARABAO CUP: Hawa hapa kuumana raundi ijayo

BAADA ya mechi 16 kupigwa juzi na jana kwenye michuano ya Carabao Cup nchini Uingereza, droo imetangazwa ikihusisha timu 16 zitakazopambana kwenye hatua ya nne.

Mechi hizo zitakazochezwa kwenye viwanja vinane tofauti zimepangwa kupigwa Jumatatu ya Oktoba 23 huku mechi ya Chelsea dhidi ya Everton ikionekana kuvuta hisia za watu wengi zaidi.

Hii hapa droo kamili.

Matokeo ya mechi za jana Carabao Cup

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *