Daniel Levy amfuata Sanchez Colombia

LONDON, Uingereza
MWENYEKITI wa klabu ya Tottenham Hotspur Daniel Levy amesafiri kuelekea nchini Uholanzi kukamilisha dili la beki Davinson Sanchez raia wa Colombia anayechezea klabu ya Ajax.

Spurs wamekuwa wakimfuatilia nyota huyo huku Ajax wakihitaji kiasi cha paundi 35 milioni ili kumuachia mlinzi huyo anayeweza hucheza nafasi ya beki wa kati na kulia.

Spurs wameongeza jitihada za kumnasa beki huyo kwakua Barcelona pia imeonesha nia ya kuhitaji saini yake ili kuongeza nguvu katika safu ya ulinzi.

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *