GUARDIOLA,KANE, DEFOE WATISHA TUZO ZA EPL

Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola ametajwa kuwa kocha bora wa ligi kuu ya Uingereza (EPL) kwa mwezi Disemba.

Kocha huyo wa zamani wa Bayern Munich ameweka rekodi ya kutwaa tuzo hiyo mara nne mfululizo baada ya kushinda mwezi Septemba Octoba, Novemba na Disemba.

City imeshinda mechi saba na kutoka sare moja katika michezo nane iliyocheza mwezi uliopita ikiendelea kubaki kileleni mwa msimamo.


Mshambuliji wa Tottenham Hotspur, Harry Kane amechaguliwa kuwa mchezaji bora kuwa mwezi huo baada ya kufanya vizuri.

Jermain Defoe ametwaa tuzo ya bao bora la mwezi.

It's only fair to share...Share on Facebook
Facebook
Share on Google+
Google+
Tweet about this on Twitter
Twitter
Share on LinkedIn
Linkedin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *