Haya ndio yanayojadiliwa mkutano mkuu Simba

Ajenda za mkutano mkuu wa Simba

1.Kuhakiki idadi ya wanachama

2. Kuthibitisha Ajenda

3.Kuthibitisha kumbukumbu za mkutano uliopita

4. Yatokanayo na kumbukumbu ya mkutano uliopita

5. Hotuba ya Rais

6. Kupokea kujadili taarifa ya utendaji kutoka kwa Kamati ya Utendaji

 

7. Kujadili mapendekezo ya kuwasamehe wanachama waliofungiwa

8. Kupokea na kupiga kura jina la mdhamini anayependekezwa kujaza nafasi iliyowazi

9. Kuthibitisha hesabu za fedha zilizokaguliwa za mwaka uliopita.

10. Kuthibitisha taarifa ya chombo cha ukaguzi na hatua zilizochukuliwa na vyombo vya utendaji

11. Kuthibitisha bajeti ya mwaka unaofuata

12.Mengineyo

13. Kufunga mkutano

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *