KIKOSI CHA ZANZIBAR HEROES KINACHOANZA NA KILIMANJARO

Zanzibar Heroes watajitupa uwanjani kuwakaribisha Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ katika mchezo wa Kundi A utakaofanyika kwenye uwanja wa Kenyatta uliopo Kaunti ya Machakos nchini Kenya, mchezo unaotarajiwa kuanza majira ya saa 8 mchana.

Kikosi kitakachoanza na namba zao mgongoni.

1. Mohamed Abrahman (Wawesha) 18.

2. Ibrahim Mohamed (Sangula) 15.

3. Haji Mwinyi Ngwali 16.

4. Abdulla Kheri (Sebo) 13.

5. Issa Haidar Dau (Mwalala) 8.

6. Abdul azizi Makame (Abui) 21.

7. Mohamed Issa (Banka) 10.

8. Mudathir Yahya 4 (Captain).

9. Ibrahim Hamad Hilika 17.

10. Feisal Salum (Fei Toto) 3.

11. Hamad Mshamata 9.

Wachezaji wa akiba.

1. Ahmed Ali (Salula) 1.

2. Ibrahim Abdallah 2.

3. Adeyum Saleh 20.

4. Abdullah Haji (Ninja) 5.

5. Seif Rashid (Karihe) 12.

6. Kassim Suleiman 19.

7. Suleiman Kassim “Seleembe” 7.

8. Khamis Mussa (Rais) 28.

9. Amour Suleiman (Pwina) 14.

10. Abdul swamad Kassim (Hasgut) 22

It's only fair to share...Share on Facebook
Facebook
Share on Google+
Google+
Tweet about this on Twitter
Twitter
Share on LinkedIn
Linkedin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *