LIVERPOOL,PORTO, MADRID, SPURS ZAUA ULAYA MAN CITY YALALA

Timu za Liverpool, Real Madrid, FC, Tottenham Hotspur zimeibuka na ushindi kwenye mechi zake za ligi ya mabingwa Ulaya wakati Manchester City ikikubali kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Shakhtar Donetsk.

Liverpoo ikiwa nyumbani Anfield imeibuka na ushindi mnono wa mabao 7-0 dhidi ya Spartak Moscow huku kiungo mshambuliaji Phillipe Coutinho akifunga hat trick.

Sadio Mane alifunga mabao mawili mengine yalifungwa na Roberto Firmino na Mohamed Salah.

Mabingwa watetezi wa michuano hiyo Real Madrid ikiwa uwanja wa nyumbani Santiago Bernabeu imeibuka na ushindi wa mabao 3-2 mbele ya Borussia Dortmund.

FC Porto imepata ushindi mnono wa mabao 5-2 mbele ya Monaco wakati Tottenham Hotspur ikishinda mabao 3-0 dhidi ya APOEL Nicosia.

Matokeo kamili ya mechi zote

Liverpool 7-0 Spartak Moscow

Maribor 1-1 Sevilla

Feyenoord 2-1 SSC Napoli

Shakhtar Donetsk 2-1 Man City

FC Porto 5-2 Monaco

RB Leipzig 1-2 Besiktas

Real Madrid 3-2 Borussia Dortmund

Tottenham Hotspur 3-0 APOEL Nicosia

It's only fair to share...Share on Facebook
Facebook
Share on Google+
Google+
Tweet about this on Twitter
Twitter
Share on LinkedIn
Linkedin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *