Manji aachiwa huru sakata la dawa za kulevya.

Hakimu wa mahakama ya hakimu mkazi Kisutu, leo hii amemuachia huru aliekua mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Yanga, Yusuf Manji baada ya kukutwa hana hatia kama alivyoshitakiwa na jamhuri.

Ushahidi uliotolewa na mashuhuda wa upande wa mshtakiwa akiwemo dakatri bingwa kabisa wa kitengo cha Moyo, Daktari, Profesa Mohamed Janabi wiki kadhaa zilizopita umetosheleza kumfanya Manji kufutiwa shitaka hilo la utumiaji wa madawa ya kulevya.

It's only fair to share...Share on Facebook
Facebook
Share on Google+
Google+
Tweet about this on Twitter
Twitter
Share on LinkedIn
Linkedin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *