MATAJIRI NJOONI MUICHUKUE SIMBA.

MCHAKATO wa ununuzi wa hisa za klabu ya Simba, umepiga hatua leo hii baada ya kamati iliyoteuliwa kuratibu zoezi zima la kupata wazabuni chini ya usimamizi wa jaji mstaafu Thomas Mihayo kutoa wito wa awali kwa watarajiwa.

SIMBA MAKINI imefanikiwa kupata taarifa rasmi inayoeleza zoezi zima ikiwemo tarehe ya mwisho ya uwasilishwaji wa nia ya kutaka kujumuishwa katika mchakato wa kiuwekezaji kuwa ni tarehe 18 oktoba 2017, saa 8 alasiri.

kwa maelezo zaidi pitia taaarifa kamili hapa chini.

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *