Matokeo yote UEFA, magoli 28 yawekwa nyavuni

LIGI ya mabingwa hatua ya makundi imerejea usiku wa kuamkia leo huku ikishuhudiwa miamba 16 ikipepetana katika viwanja vinane tofauti.

Katika mechi hizo jumla ya mabao 28 yamewekwa nyavuni huku mchezo mmoja pekee ndio ukimalizika kwa suluhu ambao ni kati ya AS Roma na Atletico Madrid.

Lionel Messi alifunga mabao mawili na kuisaidia Barcelona kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Juventus
Chelsea na PSG wamekuwa vinara wa ‘kutupia’ baada ya wazee wa darajani kuibamiza Qarabag mabao 6-0 huku matajiri wa jiji la Paris wakiisambaratisha Celtic mabao 5-0.

Yatazame matokeo yote ya mechi za jana hapa chini.

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *