MATUKIO KWA PICHA SIMBA MAKINI DHIDI YA CHANNEL TEN

Hemed Mauli, kiungo wa Simba Makini akijaribu kumtoka kiungo wa Channel Ten/Magic FM
Ali Lota, mshambuliaji wa Simba Makini akiwa chini ya ulinzi mkali wa mlinzi Channel Ten/Magic FMc Fm
Kiungo wa Simba Makini, Hemedi Mauli akijiandaa kupiga mpira wa adhabu kuelekea lango la wapinzani.
Wachezaji wa Simba Makini wakikumbushana majukumu kabla ya kuanza kwa kipindi cha pili.
It's only fair to share...Share on Facebook
Facebook
Share on Google+
Google+
Tweet about this on Twitter
Twitter
Share on LinkedIn
Linkedin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *