MATUKIO: Simba, Stand United na Sportpesa

PicsArt_05-12-06.43.03
Wachezaji wa Simba wakimpongeza Juma Liuzio (10) baada ya kuifungia timu hiyo bao la kwanza

PicsArt_05-12-06.41.41

PicsArt_05-13-10.06.41
Kikosi cha Stand United kilichoanza dhidi ya Simba jana
PicsArt_05-13-10.05.24
Kikosi cha Simba kilichoanza dhidi ya Stand United
PicsArt_05-13-10.09.07
Shiza Kichuya akiwa na mtoto mnazi wa Wekundu wa Msimbazi
PicsArt_05-12-05.12.22
Rais wa Simba, Evans Aveva akionyesha jezi yenye nembo ya wadhamini wao wapya, kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Sportpesa
PicsArt_05-13-10.26.15
UTANI: Mmoja wa wakurugenzi wa Sportpesa, Abbas Tarimba (kushoto) akikataa kupokea jezi ya Simba, hata hivyo aliipokea baadae na kushangiliwa na umati wa mashabiki. Tarimba aliwahi kuwa kiongozi wa Yanga ambao ni mahasibu wakubwa wa Simba
PicsArt_05-13-10.21.17
Hans Poppe akiwa na Rais Aveva wakati wa tukio la utiaji saini mkataba huo
PicsArt_05-13-10.02.01
Janvier Bokungu akimdhibiti Selembe wa Stand United
PicsArt_05-13-09.58.37
Kichuya akimiliki mpira

PicsArt_05-13-09.53.36

PicsArt_05-13-09.49.31
Haji Manara (kulia) alikuwepo uwanjani kuongoza zoezi la utiaji saini mkataba mpya
PicsArt_05-13-08.05.30
Laudit Mavugo akijaribu kufunga lakini mpira ukatoka sentimita chache nje ya lango
PicsArt_05-12-05.39.19
Huu ndio muonekano mpya wa jezi za Simba baada ya kuwekwa nembo ya Sportpesa
It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *