Ngolo Kante, Neymar, Dyabala nani kunyakua Ballon d ‘Or.

Majina ya wachezaji watakaoingia kwenye kinyang’anyiro cha kugombania tuzo ya mchezaji bora wa dunia yameanza kuwekwa hewani leo hii, huku Ngolo Kante, Neymar na Paul Dyabala wakitangazwa katika awamu ya kwanza.

Majina yaliotangazwa mpaka sasa kuwania Ballon d’Or na muda waliotangaza ni kama ifuatavyo;

8am: Neymar, Luka Modric, Paulo Dybala, Marcelo, N’Golo Kante

11am: Luis Suarez, Sergio Ramos, Jan Oblak, Philippe Coutinho, Dries Mertens

1pm: Kevin De Bruyne, Robert Lewandowski, David De Gea, Harry Kane, Edin Dzeko

4.50pm: Majina mapya matano
5.35pm: Majina mapya matano
6.15pm: Majina mapya matano

Jumla ya majina 30 yatatangazwa na baadaye kupigiwa kura kupata mchezaji bora.

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *