Operesheni ya Luke Shaw yamalizika kwa mafanikio

Na Mwandishi Wetu

PSV-Eindhoven-vs-Manchester-United (1)PSV-Eindhoven-vs-Manchester-United

Baada kuvunjika mguu katika mechi dhidi ya PSV, Manchester wametangaza kwamba beki huyo amebakia hospitali kwa ajili ya uangalizi zaidi

Mancchetser United wamethibitisha kwamba Luke Shaw atabakia Hospiyali katika jiji la Eindhoven akiendelea na matibabu baada ya kufanyiwa operesheni katika mguu wake uliovunjika

Beki huyo alitolewa uwanjani kwenye machela katika kipindim cha kwanza katika mchezo ambao timu yake ilipoteza mchezo baada ya kuchezewa rafu na Hector Moreno.

United wameachia taarifa ikithibitisha beki huyo kufanyiwa upasuaji na pia wakatoa shukrani kwa uangalizi anaoupata akiwa uholanzi

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *