PICHA 5: Maandalizi ya silaha na dalili za vita ya namba Simba

Kiungo Mzamiru Yassin (19) ameongezewa changamoto katika eneo la kiungo. Kulia kwake ni beki mpya Salim Mbonde ambaye atagombea namba na Juuko Murshid, Method Mwanjali, Erasto Nyoni na wakati mwingine James Kotei, itakuaje?, muda utatoa majibu.
Laudit Mavugo vs John Bocco kule Juma Liuzio. Wote wameamua kuiweka pembeni baridi ya Sauzi na kujifua vilivyo ili kuhakikisha wanamshawishi kocha Joseph Omog
James Kotei alitamka mara baada ya kusaini mkataba mpya kuwa “huu ni mwaka wa kufanya kazi sasa”
Kwa ujumla majibu ya nani atakuwemo katika kikosi cha kwanza na nani atakaa benchi yataanza kupatikana Agosti 8 kwenye tamasha la Simba Day pamoja na mechi za awali za ligi kuu

 

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *