PICHA: Tazama Simba walivyotua Dar

Kikosi cha wekundu wa Msimbazi Simba kimewasili katika mafungu matatu ambapo fungu la mwisho lilitua Airport majira ya saa 8:10 usiku
Beki Salim Mbonde ni katika waliowasili katika msafara huo
Kiungo Mzamiru Yassin na wenzake waliwasili majira ya saa 7 usiku
Hata hivyo, nyota watatu wanaosubiriwa kwa hamu zaidi na wanasimba, Haruna Niyonzima, Emmanuel Okwi na Nicolous Gyan hawakuonekana uwanjani hapo

 

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *