PSG WAMTANGAZA TUCHEL MENEJA WAO MPYA

Klabu ya Paris Saint-Germain imemtangaza Thomas Tuchel kuwa Meneja wao mpya kuchukua nafasi ya Unai Emery.

Mabingwa hao wa Ufaransa wameamua kumchukua kocha huyo wa zamani wa Borussia Dortmund baada ya kudumu na Emery kwa miaka miwili.

Emery ataingoza PSG katika mchezo wa mwisho wa wikiendi ijayo dhidi ya Caen.

Tuchel, alikuwa hana kazi karibia mwaka mzima tangu alipo ondoka Dortmund na amesaini mkataba wa miaka miwili.

It's only fair to share...Share on Facebook
Facebook
Share on Google+
Google+
Tweet about this on Twitter
Twitter
Share on LinkedIn
Linkedin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *