Tazama baadhi ya picha Romelu Lukaku akifanya mazoezi na wachezaji wa Manchester Utd.

Tazama Picha Romelu Rukaku akifanya mazoezi na wachezaji wa manchester utd kwa mara ya kwanza huko Los Angels Marekani muda mchache baadaya kutangazwa kuwa ni mchezaji wa manchester utd na kusaini kandarasi ya miaka mitano ya kuitumikia klabu hiyo ya jijini manchester.

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *