TIMU ZA VPL ZAPANGIWA MCHEKEA DROO YA FA

Timu zinazoshiriki ligi kuu Tanzania bara zimepangwa na timu za madaraja ya chini katika hatua ya 64 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup.

Droo ya pili ya michuano hiyo imefanyika kwenye studio za Azam TV, Tabata Dar es Salaam huku timu hizo zikichanganywa na zile za madaraja ya chini.

Mabingwa watetezi Simba watacheza na Green Warriors wakati Yanga watacheza na Reha FC zote za Dar es Salaam.

Azam nayo itakuwa nyumbani kucheza na Area C ya Dodoma wakati Mtibwa Sugar ikicheza na Villa Squad.

Ratiba kamili ya mechi za FA

Kagera Sugar Vs Makambako Heroes
Green Worrious Vs Simba
Yanga Vs Reha Fc
Njombe Mji Vs Mji Mkuu Dodoma
Singida United Vs Bodaboda
Mwadui Vs Pepsi Fc
Majimaji Vs New Generation
Boma Fc Vs Ndanda Vs
Stand United Vs Arusha Fc
BukinaFaso Fc Vs Lipuli
Azam Fc Vs Area C
Mbeya City Vs Ihefu Fc
Villa Squad Vs Mtibwa
Makanyagio Fc Vs Mbao
Abajalo vs Prison

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *