VIDEO: Bao la Kujifunga la England (U20), Nani Alaumiwe?

https://youtu.be/5hfh_JBiSwg

Msomaji wa SIMBA MAKINI tazama tena bao hili halafu utoe maoni yako hapo chini kwa kueleza nani alifanya kosa kati ya kipa na beki aliyepiga mpira.

Bao hili limefungwa katika mchezo wa kombe la dunia kwa vijana chini ya umri wa miaka 20 dhidi ya Guinea uliomalizika kwa sare ya bao moja.

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *