Wallace Karia, Wambura wakabidhiwa TFF

HATIMAYE mchakato wa kupata viongozi wapya wa shirikisho la soka nchini (TFF) umefikia mwisho baada ya jioni ya leo Wallace Karia kutangazwa kuwa mshindi wa kiti cha Urais kwa kupata kura 95 ambazo ni sawa na asilimia 74.22 ya kura zote zilizopigwa.

Kwa upande wake Michael Wambura ameshinda kiti cha makamu wa Rais baada ya kupata kura 85.

Matokeo kamili ya uchaguzi huo kama yalivyotangazwa na mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi, wakili Revocatus Kuuli ni kama ifuatavyo;

NAFASI YA RAIS

Wallace Karia – 95

Shija Richard – 9

Ally Mayay – 9

Imani Madega – 8

Fredrick Mwakalebela – 3

Emmanuel Kimbe – 1

 

MAKAMU WA RAIS

Richard Wambura – 85

Mulamu Ngh’ambi – 24

Mtemi Ramadhani – 14

Robert Selasela – 2

Michael Wambura

 

WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI

DAR ES SALAAM – Lameck Nyambaya

KILIMANJARO & TANGA – Khalid Abdallah

PWANI & MOROGORO – Francis Ndulami

DODOMA & SINGIDA – Mohamed Ally

LINDI & MTWARA – Dastan Nkumbi

NJOMBE & RUVUMA – James Mhagama

MBEYA & IRINGA – Elias Mwanjala

KATAVI & RUKWA – Keneth Pesambili

KIGOMA & TABORA – Issah Bukuku

ARUSHA & MANYARA – Sarah Chau

SIMIYU & SHINYANGA – Mbasha Matutu

MWANZA & MARA – Bedastus Rufano

KAGERA & GEITA – Salum Chama

It's only fair to share...Share on FacebookShare on Google+Tweet about this on TwitterShare on LinkedIn

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *